Ijumaa, 8 Desemba 2017

```Serikali imetangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2018

Serikali imetangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2018.
Wanafunzi 650,862 kati ya 662,035 waliofaulu wamechaguliwa katika awamu ya kwanza, hii ikiwa ni sawa na asilimia 98.31Serikali imetangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2018. Wanafunzi 650,862 kati ya 662,035 waliofaulu wamechaguliwa katika awamu ya kwanza, hii ikiwa ni sawa na asilimia 98.31Idadi hii ni ongezeko la 124,209 sawa na asilia 23.38 kutoka wanafuzni  mwaka waliochaguliwa kwa awamu ya kwanza kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2017 Pia mwaka huu wanafunzi wote wenye mahitaji maalumu wamechaguliwa kujiungana kidato cha kwanza